| UWEZO MWALWEGA NA MAGRETH SHIRIMA WAKIFURAHI BAADA YA KUFUNGAPINGU ZA MAISHA |
| IBADA YA NDOA ILIFANYIKA KKKT USHARIKA WA MBEZI BEACH |
| UWEZO MWALWEGA AKIWA NA MSIMAMIZI WAKE WA HARUSI OWEN MWANDUMBYA |
| IBADA YA NDOA IKIANZA |
| DR MAGRETH AKIMVISHA PETE YA NDOA IKIWA NDIO ALAMA YA KIAPO CHAO CHA NDOA YA KIKRISTO |
| ENG, UWEZO MWALWEGA AKIAPA KIAPO MBELE YA MCHUNGAJI NA WAZAZI KATIKA KANISA LA KKT USHARIKA WA MBEZI |
| KUSHOTO NI MAMA MZAZI WA UWEZO MCH RUTH MWALWEGA AKIKABIDHI ZAWADI BIBLIA NA RITRUGIA IKIWA NI ALAMA ZA UPENDO WA FAMILIA YA MCH MWALWEGA KWA WANANDOA |
| WANA FAMILIA YA MCH MWALWEGA WA SAI MBEYA |
| HONGERA SANA UWEZO NA MAGRETH |
| KUOA RAHA SANA |
| KATIKATI NIKIWA KATIKA POZI YA PICHA NA MDOGO WANGU OWEN MWANDUMBYA NA MKEWE |
| FURAHA YA NDOA |
| HAPA ILIKUWA NI FULL KUPENDEZA SANA |
| HARUSI NI KUCHEZA NA KULA |
| MWANAMKE MAKINI UTAMJUA WAKATI WA KUTAMBULISHA TU |
| KWAITO KAMA KAWA |
| SASA UKAFIKA WAKATI WA SEBENE HAPO SASA WATOTO WA KICHUNGAJI UTAWAFAHAM KWA KIBAJAJI PALICHIMBIKA SANA |
| MCHUNGAJI N.F MWALWEGA AKITOA NASAHA KWA MAHARUSI NA KUWASHUKURU WAGENI WAALIKWA KUWA KUJUMUIKA KATIKA HARUSI YA UWEZO NA MAGRETH |
| FAMILIA YA SHIRIMA |
| BARAKA MWALWEGA WAKIWA NA MKEWE KATIKA POZI LA PICHA |
| HAWA WENGINE SIJUI WANAFURAHIA NN JAMANI AAAAAAAA KUMBE MAHARUSI WAMETULIA SASA |
KIPANYA LEO

No comments:
Post a Comment